Kwa mujibu wa Shirika la Habari la Kimataifa la Ahl al-Bayt (as) - Abna - Mapema asubuhi ya leo (Jumatatu), mashambulio ya anga ya utawala wa Kizayuni dhidi ya hema la Waandishi wa Habari karibu na Nasser Medical Complex katika Mji wa Khan Yunis, Kusini mwa Ukanda wa Gaza, yamesababisha kuuawa Shahidi Mwandishi wa Habari wa Kipalestina na kujeruhi watu wasiopungua sita.
7 Aprili 2025 - 18:46
News ID: 1547448
Your Comment